KARIBU KATIKA UKURASA WA HABARI WA REGINA MWALEKWA LILILO KUU KWANGU NI KUKUPASHA KILE KINACHOENDELEA ULIMWENGUNI KATIKA NYANJA MBALIMBALI TAFADHALI UNGANA NAMI KILA SIKU

MADELINE KIMEI ATOKELEZEA APATA JIKO                
Wa kwanza Kushoto Naki,Amina Design,Lucy Kimei na Mtarajiwa Madeline Kimei sherehe iliyofanyika jumapili iliyopita katika ukumbi wa 5star Hall Mbezi Beach. ilipendeza sana huu ni mfululizo wa picha za Kitchen party ya binti huyo.
Kama ni zawadi bibi alipata ! mfungasho huo alobeba Naki ni kutoka kwa marafiki wa dada Lucy dada wa bibi harusi, na kuzaliwa hiyo ndo familia ya Kimei watoto wawili tu! Lucy na Madeline, kwisha kazi.Ulikua ni mchezo wa madini kwa kwenda mbele! hapap Amina Design akimpa Madeline Dhahabu! na hapo amesha vishwa mbili kumbuka ni seti kila amvalishaye!! Mashalaah Madeline, na nyuma unamuona mama Rose Kimei mama wa binti alivyochafuka na bado aliongezewa! chezea pesa weye!                    Burudani kutoka kwa dj Francis hayupo pichani ilinogaje? watu hakuna kukaa! safi sana. nyingine zaja soon! maana ni nyingi mno!


This entry was posted on Thursday, November 8, 2012 and is filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. You can leave a response.

Leave a Reply